Your browser does not support our blog javascript

joseph leo

search for more blogs here

 
Home - Take this blog! - Get your Author's Pass Here - Submit Comments Below

Eleven Kisses

Posted by ~Ray @ 2007-12-09 13:50:48


Macho ya Jamila yanaganda juu ya paji la uso wa kijana mtanashati aliyekuja na rafiki yake Neema. Kitendo cha Neema kwenda msalani ilikuwa faraja kubwa kwa Jamila akaapa kuitumia nafasi hiyo ipasavyo. Siku zote alitoswa na wanaume akaona huenda alikuwa na kasoro katika mwili change state akajipa matumaini kuwa kijana huyo angekuwa mkombozi wake suala la kuwa shemeji yake aliliweka pembeni akajiaminisha kumpata mtanashati huyo. "Nitampa mapenzi motomoto mpaka amsahau kabisa Neema," ndivyo alivyowaza kichwani mwake. Je atafanikiwa kumuingiza mtegoni? Endelea kuwa nami katika safari hii ya uhondo wa chombezo kali la kusisimua…Kama ungewaona walivyokuwa sebuleni ungebaki mdomo wazi maana kila mmoja alikuwa kama anamwonea mwenzake aibu. Jamila alijizungusha zungusha kila wakati huku akiwa hana kazi maalum ya kufanya. Kijana wa watu akabaki kimya huku akimtupia Jamila macho ya wizi kila yalipokutana walitabasamu kwa pamoja!Matabasamu ya woga!Woga wa mapenzi!“Hivi unaitwa nani?” Mihemo yake ilisikika wazi kabisa alipomwuliza jina lake.“Joe!” Akajibu kwa kifupi."Sio siri Joe wewe ni mtanashati sana!""Ahsante lakini nawe ni mrembo!""Sidhani...""Kwa nini?""Ningekuwa mrembo wanaume wangenikimbia?""Kwani wanakukimbia?""Ndio!""Siwezi kuamini!"Jamila alisimama na kwenda kwenye jokofi kisha akatoa bilauri lingine lenye juice na kuliweka mezani alipoliweka akasimama na kuondoka makalio yake yalivyopishana ilikuwa tabu kwa Joe. Udenda wa mahaba ukamtoka. Alitamani sana kumpata kimwana huyo mrembo wakati akiwa mawazoni bahati mbaya khanga ya Jamila ikadondoka chini. Hakyani Joe alichanganyikiwa kabisa kuuona mwili wa Jamila utadhani ilikuwa makusudi maana Jamila hakuiokota Khanga yake badala yake alihangaika kuyaficha matiti yake madogo utandani ya mwanamwali anayevunja ungo! Joe akayatuliza macho yake katika umbo la Jamila bila kupepesa macho udenda wa mahaba ukazidi kumdondoka!"Haiwezekani haya majaribu nitayaweza kweli?" Aliwaza Joe. Akili za kila mmoja ziliwaza kivyake wakati Joe akipatwa na wakati mgumu wa kumtamani Jamila kwa upande wa Jamila alikuwa na mambo yake kichwani mwake."Najua kwa hapa lazima atanasa asijifanye nondo. Neema akija nitajuana naye kwanza haiwezekani aniache na kijana mtanashati kama huyu kwani mimi sijakamilika? Hata mimi nina moyo bwana!" Aliwaza mtoto wa watu akiwa hoi akiugulia homa ya mapenzi. Macho ya Jamila yalibadilika rangi na kuwa mekundu kabisa kama yametiwa pilipili kichaa! Akaanza kutembea kwa mahaba kama mrembo aliyekuwa jukwaani akipita mbele ya majaji na watazamaji siku ya kinyanyiro cha kumsaka Miss Nchi. Joe akaona isiwe tabu akaamka haraka kisha kwa kasi ya umeme akavua suruari yake kisha akaitundika katika msumari uliokuwa jirani na alipokuwepo baada ya hapo akavua shati kisha akabaki na kufuli tupu. Akili yake haikuwa sawa tena alijua kitu kimoja tu mapenzi! Alishakolea katikati ya mapenzi kilichobaki akilini mwake ni kuelea katika bahari ya huba. Bahari ambayo huelea watu wazima tu tena walio katika ndoa zao lakini wawili hawa walitaka kufanya tofauti!Joe hakuongea neno lolote akamshika Jamila mkono na kuongozana naye chumbani kama ungewaona ungedhani Joe alikuwa mwenyeji na Jamila alikuwa mgeni hali ya kuwa ilikuwa kinyume chake. Wakaingia chumbani huko wakakutana na kitanda kikubwa cha futi nane kwa sita kimesambazwa mito kila kona. Mashuka yalikuwa meupe kabisa yaliyodariziwa kwa uzi wa rangi nyekundu yaliyosomeka 'LALA UNONO'Kabla Joe hajakaribishwa alijirusha kitandani. Jamila naye akajibwaga juu ya kifua cha Joe kama alikuwa ameagana naye. Jamila alikuwa kama alivyozaliwa. Joe naye hakulaza damu muda huo huo akalitoa kufuli lake mwilini na kulitupa pembeni. Kazi nzito ikaanza. Kazi ya kikubwa!********Neema hakwenda chooni kama alivyoaga alikwenda kwenye grocery moja iliyokuwa jirani na kwa shoga yake. Hakuwa tayari kunywa juice wakati aliamka kichwa kikiwa kizito baada ya kukesha usiku mzima akifakamia pombe za Joe. Alipofika ikawa kama amejisahau kabisa akanza kunywa moja baada ya nyingine alipofikisha bia tatu alikuwa amechangamka kabisa. Macho yake yakafanana na nyanya! Alikuwa anafakamia bia aina ya Castle wenyewe wanaziita 'Mwanamke nyonga'"Aka! Mtoto wa kike zinanitosha sasa acha nirudi zangu kwa shoga yangu maana najua atakuwa amenitafuta mpaka chooni!" Aliwaza alipokuwa akimka kitini tayari kwa safari ya kurudi kwa Jamila. Hebu bashiri kitakachotokea. Joe na Jamila watafumaniwa? Itakuwaje sasa? Nitumie sms kupitia namba zangu hapo juu. Usikose wiki ijayo katika ladha ya Mabusu kumi na moja! Uzalendo unamshinda Jamila anafanya vituko vya kila aina ili aweze kumnasa kijana handsome Joe kila mmoja anaugulia maumivu ndani kwa ndani. Joe akitamani kuwa mikononi mwa Jamila na Jamila akitamani kuutalii mwili wa Joe! Hapo ndipo patashika linapoanzia kwa makusudi pasipo bahati mbaya. Jamila akadondosha kanga yake akabaki mtupu kabisa... Macho yakamtoka Joe kama mjusi aliyebanwa na mlango hakuweza kuvumilia akajikuta akisimama na kupiga hatua za haraka kumfuata Jamila. Ajabu sasa. Jamila mwenyewe hakuwa na wasiwasi wala woga juu ya tukio alilolifanya. Joe akaona isiwe tabu akamvuta Jamila taratibu mpaka chumbani huko sasa mambo yakawa dance. Wakati huo huo Neema yupo katika grocery ya jirani akipata bia mbili tatu kwa ajili ya kuzimua alizokunywa jana yake. Hata hivyo Neema hakuaga kuwa anakwenda baa alidanganya anakwenda chooni!Baada ya kupata go tatu baridi akaamua kurudi nyumbani kwa Jamila! Wiki iliyopita niliwapa wasomaji wangu nafasi ya kubashiri kitakachotokea! Nimepokea sms nyingi sana kila mmoja na utaburi change state hebu angalia kama utabiri wako ni sawa! Endelea kubudika na ladha ya Mabusu kumi na moja... Chumba cha Jamila kilikuwa na nakshi za kila aina kilikuwa chumba kikubwa chenye kitanda cha futi nane kwa sita feni kubwa juu ikipuliza upepo mwanana na hivyo kuzima joto lote la jijini Dar es salute. Pembeni ya kitanda chake kulikuwa na dressingtable nzuri iliyojaa vipodozi vya kila aina. Mbele ya kitanda yhicho kikubwa kulikuwa na kioo kikubwa hivyo kufanya kila kinachoendelea kuonekana kwenye kioo kilichokuwepo mbele ya kitanda. Jokofu dogo la kuhifadhia vinywaji baridi lilifunikwa na kitambaa safi cheupe kilichodariziwa kwa mandishi mekundu yaliyosomeka 'KWA AFYA YAKO!'. Sofa moja kubwa lililokuwepo chumbani pale lilifanya uzuri wa chumba hicho kuzidi kuonekana kwa ujumla kilikuwa chumba cha mwanamke hasa tena msichana mwenye kujipenda anayekwenda na wakati. Baada ya kujibwaga kitandani wote wawili walikuwa wakielea kwenye sayari ya wapendanao wakifaidi raha juu roho ilikuwa kama hakuna kifo tena. Joe na Jamila hawakuwa na woga wa kufumaniwa walijivinjari walivyoweza hatimaye wakawa hoi taabani."Joe!" Jamila aliita akiwa hoi taabani. "Unasemaje?" Sauti ya Joe ilikuwa nzito lakini aliitoa taratibu kama anambembeleza mtoto kulala."Ahsante sana!" Sauti ya Jamila ilitoka kupitia puani."Kwa nini?""Kwa kazi nzuri!""Mh!!""Mbona unaguna?""Sijui!""Hujui nini?""Sababu ya kuguna!" Wakati Joe anamjibu Jamila alikuwa ameshasimama na kuelekea kwenye sofa kisha akaketi. Macho yake sasa yakaanza kuutalii mwili wa Jamila kila kona. Ni kama alikuwa na kitu anajifunza kitu kupitia mwili change state. Akili yake ikafanya kazi haraka sana akajiuliza sababu ya wanaume kumtosa Jamila akashindwa kuelewa. Mapenzi motomoto aliyoyapata kutoka kwa Jamila yalimfanya akose nguvu kabisa sasa alitamani sana kujenga mzinga ili aweze kufaidi asali nzuri taraibu bila wizi. Macho ya Joe yalikuwa maangavu yaliyozungukwa na nyusi.[ADVERTHERE]Related article:
http://josephshaluwa.blogspot.com/2007/09/eleven-kisses.html


0 Comments:


No comments have been posted yet!

From:   Website:
Subject:   Code:
Message:


   

 


 

 

 





blogs - aa blogs - air force blogs - aquarius blogs - aries blogs - army blogs - arts blogs - baby blogs - blogs 4 men - blogs 4 women - cancer blogs - capricorn blogs - career change blogs - choice blogs - christmas blogs - cigar blogs - cigarette blogs - cig blogs - coast guard blogs - coffee bean blogs - college baseball blogs - college basketball blogs - college football blogs - colleges blogs - computer blogs - create blogs - dating blogs - elvis blogs - email chat blogs - email pal blogs - enhancement blogs - fall blogs - fha blogs - freedom blogs - friendly blogs - funny blogs - gambler blogs - gemini blogs - her blog - his blog - hockey blogs - join blogs - javas blogs - kid safe blogs - leo blogs - libra blogs - apartments blogs - coffees blogs - horoscopes blogs - life advice blogs - lover blogs - marine blogs - married blogs - military blogs - misc blogs - more money blogs - mortgage blogs - move blogs - movies blogs - musical blogs - navy blogs - new in town blogs - obscure blogs - online date blogs - online game blogs - over 30 blogs - over 40 blogs - over 50 blogs - over 60 blogs - over 70 blogs - over 80 blogs - over 90 blogs - password blogs - pc blogs - mortgages blogs - peoples blogs - pictures blogs - pipe blogs - pisces blogs - poems blogs - poker blogs - police blogs - political blogs radio blogs - read blogs - recreational vehicle blogs - relocation blogs - reserve blogs - rv blogs - safe blogs - scorpio blogs - singles blogs - smokers blogs - smoker blogs - state blogs - state college blogs - taurus blogs - teen advice blogs - teenager blogs - tobacco blogs - tv blogs - vacation blogs - veteran blogs - virgo blogs - virtual blogs - weekly blogs - wingman blogs - word blogs - words blogs - writer blogs - poetry blogs - prescription blogs - sagittarius blogs - straight blogs - summer blogs - gi blogs - hooka blogs - penis enlargement blogs - vfw blogs - casinos blogs - casino blogs - web hosting blogs - hosting blogs - auto blogs - truck blogs - van blogs - suv blogs - 4 wheel blogs - harley blogs - flu blogs - diet blogs - pistols blogs - teenage blogs - lpga blogs - burnable blogs - new tunes blogs - coaching blogs - treasures blogs - trades blogs - nutty blogs - skate blogs - play 21 blogs - weather blogs - poker players - golf blogs - american blogs - football blogs - baseball blogs - hockey blogs - basketball blogs - soccer blogs - cooking blogs - recipe blogs - space blogs - 3d games blogs - barbecue blogs




blogs home